Judges 5:8


8 aWalipochagua miungu migeni,
vita vilikuja katika malango ya mji,
hapakuonekana ngao wala mkuki
miongoni mwa mashujaa 40,000 katika Israeli.
Copyright information for SwhKC